Rogate Kuna Namna Download mp3 download


Rogate Kalengo - Kuna Namna (There is a way) Official Video

LYRICS

#kunanamna #rogatekalengo #hitsong Namshukuru Bwana Yesu kwa hatua hii ambayo amenipa naamini utabarikiwa sana na Mungu atazidi kubadili maisha yako kwa namna ya tofauti. Nashukuruni wote mliohusika kukamilisha kazi hii wana maombi, back vocals na Managers Audio studio: Faith Music (FM) Studio Video Directors: JohnDlyimo and Dickson George kuna namna lyrics(English & Swahili) Kuna namna ambavyo Bwana anafanya vitu katika maisha yetu (There is way that the Lord does things in our lives) Tunashindwa eleza, Ni kwa upendo wake. (We cannot explain, its by his love) Siku ya leo ungana pamoja nami katika wimbo huu ( join me today in this song) Mwambie Bwana asante kwa yale mambo yote ambayo anafanya. (Tell the Lord, Thank you for all those things that He is doing) Haleluyah Haleluyah. (Hallelujah, hallelujah) Ni wako (Yesu) (I'm yours(Jesus)) Mimi ni wako (Uuuh) (I am yours (uuuh)) Ni wako, mimi ni wako. (I'm yours, i am yours) Sijui kwanini ulinipenda ukanifia. ( I don't know why you loved me, died for me) Sijui kwanini ulinipenda ukanifia. ( I don't know why you loved me, died for me) (Salama) Salama yangu kwangu pendo lako. (Its safe) ( my safety, to me is your love) (Nikiwa na Neno lako) Nikiwa na Neno lako sioni tabu. ( when I'm with your word) ( when I'm with your word, I see no misery) (Salama) Salama yangu kwangu pendo lako. (Its safe) ( my safety, to me is your love) (Nikiwa na Neno lako Bwana) Nikiwa na Neno lako sioni tabu. ( when I'm with your word) ( when I'm with your word, I see no misery) (Salama yangu kwangu ni Neno lako) Salama yangu kwangu pendo lako (Its safe) ( my safety, to me is your love) (Neno lako ni taa ya miguu yangu Bwana) Nikiwa na Neno lako sioni tabu ( your word is the light of my feet Lord) ( when I'm with your word, I see no misery) (Ooh Ooh Ooh) Salama yangu kwangu pendo lako ( my safety, to me is your love) Nikiwa na Neno lako sioni tabu ( when I'm with your word, I see no misery) Kuna namna waniwezesha ( there is a way you enable me) Kuna namna waniinua. (There is a way you raise me) Kuna namna waniwezesha (Oh-Uuh) (There is a way you enable me- Oh Uuh) Kuna namna waniinua (There is a way you enable me,) KUNA NAMNA, KUNA NAMNA (There is a way, there is a way) Naamini Bwana unafanya kitu juu ya maisha yangu leo ( I believe the Lord is doing something in your life today) Kuna namna siwezi eleza Bwana ulivyonipenda msalabani (There is a way that I can't explain the way u loved me on the cross Lord) Ukafa kwaajili ya maisha yangu Bwana ( you died for my life Lord) Ninasema asante, Ahsante Bwana (I say thank you, thank you Lord) Nakupa wewe heshima na adhama na nguvu, Haleluyah. (I give you honor, glory and all power, hallelujah) Ahsante (Ahsante) (Thank you) (thank you) Oooh yeah Asante Bwana kwakuwa unanipenda Bwana (Thank you Lord, because you love me Lord) Ulikufa msalabani kwaajili ya maisha yangu Bwana ( you died on the cross for my life Lord) Nami nasema asante Bwana ( and I'm saying thank you Lord) Salama yangu kwangu pendo lako ( my safety, to me is your love) Nikiwa na Neno lako sioni tabu ( when I'm with your word, I see no misery) (Naamini Bwana kuna namna unafanya) (I believe Lord, there is a way you do) KUNA NAMNA, KUNA NAMNA (There is a way, there is a way) (Ungana pamoja nami hapo ulipo kaa) (join me where you are now) (Hebu sema haya maneno pamoja nami) (Say these words together with me) (Bwana anaenda kukuhudumia) (The Lord will minister to you) (Kuna namna anaenda kukuponya) ,(there is a way He is going to heal you) (Kama una ugonjwa Mungu anakufungua) (If you are sick, God is setting you free) (Kama kuna shida katika maisha yako Bwana anafanya) (If there is a problem in your life, the Lord is able to do) (Kuna namna, Kuna namna) (There is a way, there is a way) (Haleluya) (Hallelujah) (Kuna Namna) (There is a way) (Oooh) (Oooh)


Rogate Kalengo - Kuna Namna(Official Music Audio)

LYRICS

Kuna namna Bwana huwa anafanya vitu katika maisha yetu tunashindwa eleza ni kwa upendo wake


Rogate Kalengo - Ephesians 1:19 (Official Music Video) 4K

LYRICS

#rogatekalengo #ephesians1_19video You have to trust God, Even in your hardest moment. Don't be afraid because for us who we believe in Jesus Christ we have immeasurable and unlimited greatness of his power (Ephesians 1 : 19 - 22). This Video is to remind you to trust and love God not only in good times but also in moment that He might seem so far. Be blessed as you watch this video. Directed by Mr. Azalia Produced by G Love Bass guitar by Jecko bass Acoustic guitar by Rogate Kalengo Solo guitar by Papaa Eze Coordinated by Anosisye Mwakasula Special thanks to my team; Angel Ibrahim Anneth Mwandiga Jackline Bedastus Joyce William Mariam Zabron Nuru Kalengo Scholastica Emmanuel Baraka Kasebele Henry Buchumi Geofrey Mtalege Follow and contact us; Email: [email protected] Instagram: rogatekalengo_official Twitter: Rogate Kalengo


"KUNA NAMNA" - ROGATE KALENGO | JEANS AND T-SHIRT (ONE ON ONE)

LYRICS

Jeans and T-Shirt (ONE ON ONE) April 02, 2017 The National Museum Theatre Join us every 1st Sunday of the month. Follow me on twitter: @riot_org Facebook page: https://www.facebook.com/jeansandtshirttz Follow on Instagram: http://www.instagram.com/riot_org Email: [email protected] Website: www.riotministries.org Video By: iMedia Creatives [email protected]


More than Enough - Rogate Kalengo(Tanzania) ft. The Xplicits(Nigeria)

LYRICS

This is a new Gospel Worship song written and sang by Rogate Kelengo from Tanzania in collaboration with The Xplicits team from Nigeria. The back vocals are done by Nuru Kalengo, Kalunde Julius From Tanzania and the Xplicits team from Nigeria. Produced by Tobass from Nigeria and EdwinMrope from Tanzania. The song has two languages in it Swahili and English. This song will draw you near to God in worship and Sing him praises that Jesus is more than enough. Follow us: Instagram: @rogatekalengo_official @xplicits_crew Facebook: rogate kalengo, the xplicits group Twitter: kalengo_rogate, the xplicits


OMBI LANGU-Rogate Kalengo ft. Evalyne Denis (Official Gospel Music Audio)

LYRICS

Kuna Vitu Tunafanya ambavyo hatupendi kuvifanya na vile tunapenda hatuwezi Wimbo huu utakusaidia kupita hapo na sehemu nyingine Ngumu. Ombi Langu Lyrics Ombi langu Dua yangu Toka kwangu kwenda kwako Mungu wangu verse 1 Unijaze Roho wako nanikae nawe Nisiyumbe na Dunia maana yote yanapita zile dhambi zinizongazo kwa wepesi niepushe naamini unafanya leo kitu kipya ndani yangu wewe wee Chorus OMBI LANGU DUA YANGU TOKA KWANGU KWENDA KWAKO MUNGU WANGU UNIFANYE MTAKATIFU UNIFANYE MWAMINIFU MUNGU WANGU Verse2 Natamani niweze kukupenda zaidi na tena nizidii ii ooh oh na tena nisikae Rehema kuzoelea nikazidi potea aah uuh hata nikazidi kosea nakufanya kuchukia au ukaumia ah hilo sitamani Ije tokea au kujirudia Ee Mungu wangu ni OMBI langu eeh Chorus OMBI LANGU DUA YANGU TOKA KWANGU KWENDA KWAKO MUNGU WANGU UNIFANYE MTAKATIFU UNIFANYE MWAMINIFU MUNGU WANGU Bridge HAKUNA MATATA HAKUNA MASHAKA KWA YESU NI SHWARI MAMBO YOTE SHWARI


Rogate Kalengo - Ephesians 1:19 [Official Lyric Video)

LYRICS

#ephesians1_19 #rogatekalengo Namshukuru Mungu kwa ajili ya njia yake isiyo na mawaa. Niamini mimi Mungu yupo kukuvusha unapousikiliza huu wimbo barikiwa. Contact: +255752254801 Thanks to Anno Mwakasula


KUNA NAMNA COVER by Magreth Eliau

LYRICS


Mwimbaji Cover ya kuna namna nzuri sana embuiyone alivyo itendea haki na uyu mtoto

LYRICS


Rogate Kalengo - Kuna Namna ambavyo Mungu anamtumia

LYRICS

Rogate Kalengo - Kuna Namna ambavyo Mungu anamtumia


Rogate Kalengo X Roka Family - Nainuka (Official Video)

LYRICS

Naitwa Rogate Kalengo, mbeba maono ya ROKA pia muimbaji wa nyimbo za injili Tanzania. #rokatv #nainuka #rokafamily Namshukuru MUNGU kwa kunipa Kibali kuanzisha haya MAONO ya Roka Show Tanzania, Nakupelekea Leo kufanya hii Audio ambayo vijana waliokuwepo kwenye Roka Show Phase I wameonesha Uwezo wao katika Uimbaji. Vijana Hao Ni: Meshak Peter Sarah Kiula Simon Mbaruku Eliud William John Paul Koheleth Samwel Edward Chumila Nicholous Sambagi Suzzan Elly Nehemia Edward Aidan Didace Naomi Shija Arnold Rwekaza Nickson Tarimo Iman Mwasambapa NAAMINI WIMBO HUU UTAWABARIKI


KUNA NAMNA-ROGATE & TAFES DAR PRAISE TEAM

LYRICS

We sang KUNA NAMNA at Msasani beach Dar as Praise team of TAFES DAR. THANK YOU GOD BECAUSE KUNA NAMNA YOU ARE TAKING US HIGHER.


nakosa namna

LYRICS


Rogate Kalengo - Ombi Langu Live OnStage @ Uhuru Morovian ,Kuna Namna Concert April 24th

LYRICS

ENGAGE WITH GOSPOMEDIA * Subscribe to our channel: https://www.youtube.com/channel/UCu23kwhxS92KzhZASdJLtzg * Leave a comment, thumbs up the video (please!) * For More New Gospel MusicUpdates visits: http://www.gospomedia.com CONNECT * Twitter: https://twitter.com/GospoMedia * Facebook: https://www.facebook.com/gospomedia/ * Google+: https://plus.google.com/u/0/102334234306988694581 * Website: http://www.gospomedia.com GOSPOMEDIA * Kuhusu Gospo Media: http://gospomedia.com/kuhusu-gospomedia/ * Huduma: http://gospomedia.com/huduma/ * Gospo Awards: http://gospomedia.com/gospo-awards/ * Matangazo: http://gospomedia.com/matangazo/


Kuna Namna Official video teaser by Rogate kalengo

LYRICS

Directed by JohnDlyimo and Dicksongeorge


Rogate Kalengo - Ephesians 1:19 (Official Audio)

LYRICS

#rogatekalengo #ephesians1_19 #iloveyoulord You have to trust God, Even in your hardest moment. Don't be afraid because for us who we believe in Jesus Christ we have immeasurable and unlimited greatness of his power (Ephesians 1 : 19 - 22). This song is to remind you to trust and love God not only in good times but also in moment that He might seem so far. Be blessed as you listen to this song. Produced by G Love in Mbeya, Tanzania Bass guitar by Jecko bass Acoustic guitar by Rogate Kalengo Solo guitar by Papaa Eze Back vocals by Elisha Ngonile, Dorcas Kameta and Fidesta Mwakasege


KUNA NAMNA Official Video by Rogate_Kalengo is Comingsoon.

LYRICS

Fanyika Baraka kusambaza utambulisho huu mfupi in social Media


Rogate Kalengo-Ibada (Official Gospel Audio)

LYRICS

Nilikuja kugundua kuwa kuimba kwa sauti kuu, kwa vinanda na filimbi na kila aina ya ala za muziki katika ubora wake zinaweza kuwa kelele kwa MUNGU kama mioyo yenu ipo mbali naye. Ni Muhimu kuitoa miili yenu iwe dhabihu safi kwa maana hiyo ndiyo IBADA YETU YENYE MAANA. Unapo usikiliza wimbo huu hilo liwe ombi lako. WARUMI 12:1 Lyrics IBADA Natoa Ibada kutoka ndani ya moyo wangu moyo wangu IBADA IBADA IBADA ya Moyo wangu mimi ni nani bila wewe hata niishi bila wewe maana siwezi bila wewe na nitapotea bila wewe wewe ni jana yangu Bwana wewe ni leo yangu Bwana wewe ni kesho yangu Bwana wewe ni milele yangu Bwana nami naishi kukwabudu mikono yangu nainua na mwili wangu uwe dhabihu uwe IBADA Nakuabudu Bwana nakuinua Bwana wewe ni MUngu wangu Mfalme oouooh oouooh Hii ni Ibada ya Moyo wangu


Ashley Nassary - Tumaini la Wanyonge (Official Video)

LYRICS

Lets Connect : Website: www.wemusicpro.com Facebook: http://www.wemusicpro.com/facebook Instagram: http://www.wemusicpro.com/instagram Twitter: http://www.wemusicpro.com/twitter


Nuru Kalengo ft. Rogate Kalengo - Waweza (Official Music Audio)

LYRICS

#nurukalengo #rogatekalengo #waweza Najua yakuwa waweza fanya mambo yote Na yakuwa makusudi yako hayawezi zuilika. Ayubu 42:2 Wimbo una tukumbusha ukuu wa Mungu katika maisha yetu. Mungu akubariki unapoendelea kusikiliza Produced: G love Acoustic guitar: Rogate kalengo Contact us: Email: [email protected] Follow us: Instagram @nuru_kalengo official. @rogatekalengo_official


NAMBA MOJA COVER

LYRICS

#PaulClement #NgommaTz Wanaitwa Gidion na Joshua. Ni kazi yao ya kwanza kufanya cover ya Namba moja ya kwake Paul Clement. Kazi imefanyika Fisher Records ©2018 Administered by Ngomma VAS Limited.


Madam Flora - Yesu Usinipite (Official Video)

LYRICS

A Kaka Empire Presentation 2018 Madam Flora performing Yesu Usinipite Audio produced at Push Up Records by Mujwahuki Video Directed by Jozzey Madam Flora is a Tanzanian Gospel artist signed to Kaka Empire Management


Rogate Kalengo-Nakukubali Yesu(Worship in a room)

LYRICS

A worship from within appriciating my God. By any means i will be in his temple worship. I am a free worshiper


Ashley Nassary - Ni Neema

LYRICS

Lets Connect : Website: www.wemusicpro.com Facebook: http://www.wemusicpro.com/facebook Instagram: http://www.wemusicpro.com/instagram Twitter: http://www.wemusicpro.com/twitter


DERICK MARTON - NAKUAMINI

LYRICS

This is the declaration song to what God have done to me because i choose to trust the Lord and he has never leave me he is on my side I will forever trust the Lord Jesus Nakuamini Chorous "Nangoja nasubir wakati najua unanitazama aah Nangoja nasubiri wakati nahakika una mpango na mimi" Ig: Derick_marton Fb: Derick marton Twitter: 11dmarton +255712300038


VASHONCEE- WATOTO NI ZAWADI (official video) dir Crix.

LYRICS

Watoto ni zawadi na mibaraka toka kwa Mungu.Ombea watoto wako na uwatamkie mibaraka acha kuwaita watoto wako majina yasiyofaa ndicho watakuwa. Kuwa mzazi umepewa dhamana ya kuandaa watu kwa ajili ya ufalme. Baba na mama wote ni wajibu wetu kuwalea watoto na kuwajenga katika maadili bora. Ujumbe huu na ukawe mbaraka mwingine kwako. We love you. We pray for you.


BELLA KOMBO | NILIVUTA BANGI | PESA ZA SHULE NILIPELEKA THT | MASANJA TV

LYRICS

TANGAZA NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490 SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates: 👇 👇 https://www.youtube.com/channel/UCmKRCC5AXn1Hb0ClJx8iZ2w?sub_confirmation=1


Jessica Honore -Ni Yesu- (Official Video 4k) SMS SIKIZA CODE:(8560388

LYRICS

The audio of this song also available one iTunes, deezer,spotty,Amazon, googleplay, Mkito, wasafi,SoundCloud, and many More stores all over The world.


Rogate Kalengo X Roka Family - Nainuka (Official Audio)

LYRICS

Naitwa Rogate Kalengo, Mbeba maono ya ROKA. #rokatv #nainuka #rokafamily Namshukuru MUNGU kwa kunipa Kibali kuanzisha haya MAONO ya Roka Show Tanzania, Nakupelekea Leo kufanya hii Audio ambayo vijana waliokuwepo kwenye Roka Show Phase I wameonesha Uwezo wao katika Uimbaji. Vijana Hao Ni: Meshak Peter Sarah Kiula Simon Mbaruku Eliud William John Paul Koheleth Samwel Edward Chumila Nicholous Sambagi Suzzan Elly Nehemia Edward Aidan Didace Naomi Shija Arnold Rwekaza Nickson Tarimo Iman Mwasambapa NAAMINI WIMBO HUU UTAWABARIKI.


Nsajigwa Mordecai Mvua ya Baraka (Official Video)

LYRICS

www.faithmusiclab.com


jimmy Gospian - Utusamehe (Official Music Video)

LYRICS

New video performed by Jimmy Gospian, Produced by Nusder and directed by kenny ukiyz.


Miriam Lukindo Mauki - Hakuna Wa Kubadili (Official music Video) by einxer

LYRICS

Miriam Lukindo Mauki - Hakuna Wa Kubadili (Official music Video) by einxer


Happy Michael - Upendo wako

LYRICS

#audio @ Toner waka #Production @ Toneer Music # director JayBlack Please dont forget to LIKE and to Subcribe our channel. Thanks for you support . Call:+255716333336 Whatsapp:+255621935408


Mwl Emmanuel Singano - Namna ya Ajabu ( Official Video)

LYRICS

Namna ya Ajabu Official Video #Ephesians 3:20-21 Song Written by Mwl Emmanuel Singano Studio MARS Anderson Studios Mixing & Mastering Mangu4 Video Director SON BLESS Photography Boaz Kusaga. Guiterist Elikana Bassist Past Seth Music Director Fred Boniphace Namna ya ajabu ni wimbo unaoeleza ukuu wa Mungu na namna Yesu kristo anavyofanya mambo katika maisha yetu kwa namna ambayo hatuwezi hata kueleza. Karibu sikiliza wimbo huu naamini Kuna ujumbe wa Mungu kwa ajili yako hapa. Ahsante na Barikiwa sana.


JOEL LUAGA - Yote Mema (Lyrics)

LYRICS

New single from Tanzania's Joel Luaga Disclaimer I do not own any rights to this songs.


Paul Clement - Viti Havifahi Tena Lyrics

LYRICS

BJ MEDIA PRO Videography | Photography | Graphics Design more about us just visit: instagram @bjmediapro_official facebook/ BJ MEDIA PRO twitter @bjmediapro1 web: http://bjmediapro.weebly.com


BWANA WA MAJESHI THE OFFICIAL VIDEO FROM GWT

LYRICS

BWANA WA MAJESHI a song from Glorious Worship Team ,video Directed by Fahim Rasham


Miriam Lukindo Mauki feat Paul Clement - Amen Haleluya (Official HD Music Video)

LYRICS

Please share this song. Na Mungu akubariki.


Madam Flora - Wanitosha (Official Video)

LYRICS

A Kaka Empire Presentation 2018 Madam Flora performing Wanitosha Audio produced by Jack Jack on the Beat at Kaka Empire Studios Video Directed by Jozzey Madam Flora is a Tanzanian Gospel artist signed to Kaka Empire Management


Rogate Kalengo feat Evalyne Denis-Ombi Langu (Official Gospel Music Audio)

LYRICS

“Mungu wetu huwa anatupa vyote tunavyohitaji hata kama hatuja omba kwa kiwango kipaswacho wakati mwingine Pia Neema na Rehema zake zadumu milele yote akitegemea tuwe watakatifu na waaminifu kama yeye lakini bado huwa kama wanadamu tuna mapungufu kila iitwapo leo.. Huu wimbo unatamsaidia mtu wa namna hii kurudi na kuumpa nguvu ya kusimama na Mungu daima.” Gospel Music Artist: Rogate Kalengo feat Evalyne Denis Song Title: Ombi Langu Audio Producer: Successclassic Studio Recording: Faith Music Lab Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255769103087 Facebook: Rogate Kalengo Instagram: @rogatekalengo YouTube: Rogate Kalengo Email: [email protected] Download Audio Link: http://gospomedia.com/sikiliza-download-gospel-music-audio-rogate-kalengo-feat-evalyne-denis-ombi-langu/ ENGAGE * Subscribe to our channel: https://www.youtube.com/channel/UCu23kwhxS92KzhZASdJLtzg * Leave a comment, thumbs up the video (please!) * For More New Gospel MusicUpdates visits: http://www.gospomedia.com CONNECT * Twitter: https://twitter.com/GospoMedia * Facebook: https://www.facebook.com/gospomedia/ * Google+: https://plus.google.com/u/0/102334234306988694581 * Website: http://www.gospomedia.com GOSPOMEDIA * Kuhusu Gospo Media: http://gospomedia.com/kuhusu-gospomedia/ * Huduma: http://gospomedia.com/huduma/ * Gospo Awards: http://gospomedia.com/gospo-awards/ * Matangazo: http://gospomedia.com/matangazo/


Bella - Alpha Omega (Official Video)

LYRICS

The Official Alpha Omega Hit Single from Bella Kombo Kizito


Yesu ameniinua - Tabitha Mamboleo - Video song

LYRICS

Yesu ameniinua - Tabitha Mamboleo Ni wimbo wa ushuhuda unaotia moyo na kufariji wenye huzuni Hakika Yesu huwainua wote wanao mtegemea na kumngoja kwa subira. Wimbo umeimbwa na Tabitha Mamboleo akishirikiana na Ellen Masanja (Kibwagizo mwishoni) MWIMBAJI STUDIO 0765 514444 - WhatsApp/Call


Angel Benard - Utukumbuke (Official Video) SMS SKIZA 8563533 TO 811 TO GET THIS SONG

LYRICS

Watch "Angel Benard" video "Utukumbuke". Mkono wa Mungu si mfupi usiokoe, Sikio lake sio zito lisisikie , Yeye mwanzo tena mwisho. Kwake hakunalo gumu, Tujapokuwa dhaifu,yeye ndiye nguvu zetu #AngelBenard #Utukumbuke


Pendo Lako_Paul Nhiga

LYRICS

This song was written and sang by Paul Nhiga in Relight Studios under producer Ivan Blessing. A writter tried to explain how the love of God is wonderful in his life that, he is even loved regardless of his weeknesses. Listen, download, find time to meditate and you can also share to others for the glory of the Lord. Don't forget to #subscribe.


Yesu Namba Moja by Paul Clement (teaser)

LYRICS

Ni wakati mwingine tena baada ya kufanyiwa AMANI tunamshukuru MUNGU na kumwambia #YESU WEWE NI NAMBA MOJA# Katika maisa yangu YESU NI NAMBA MOJA. Jeh! Kwenye maisha yako umempa nafasi gani? @paulclement_official @paulclement_official #NAMBAMOJA #NAMBAMOJA


Joel Lwaga- Sitabaki nilivyo Lyrics video

LYRICS

Edited by Albert Archibold | MDP Instagram: https://www.instagram.com/albertarchibold Facebook: https://www.facebook.com/albertarchiboldmunisi Twitter: https://twitter.com/AlbertArchibold LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/albertarchibold TikTok: https://www.tiktok.com/albertarchibold Fiverr: https://www.fiverr.com/albertarchibold


Joshua Lugendo-Makerubi (Official Music Video)

LYRICS

MAKERUBI is a Gospel worship also praise Song which become popular in many churches that composed by: JOSHUA LUGENDO in "November 2016". Audio Produced by: Godwin 'Oggy Keyz" Emmanuel Video Shot By Director GQ in Morogoro & Dar es Salaam. For Bookings cont +255693231650 or +255657589542 Available to download/stream via: Boomplay: https://www.boomplaymusic.com/share/music/7290219?srModel=WHATSAPP&srList=ANDROID Mdundo: http://mdundo.com/song/1373897?appshare Follow Joshua Lugendo on: Instagram :joshualugendoTz Facebook: https://web.facebook.com/joshualugendo


FRIDA FELIX-NENO (Official Gospel Music Video)

LYRICS


Nsajigwa Mordecai Jabari directed by Kyonaboy media Production

LYRICS

Nsajigwa_Jabali_ directed by Kyonaboy media Production OFFICIAL MSIC VIDEO HD


Enock Jonas - Ndivyo Ulivyo (Official Music Video)

LYRICS

Kwa Mawasiliano +255 756420771 +255 621919607 Gmail: [email protected] #SubscribeNow


Last Music Searches

| Buttercup Jackbstauber | Ashara Kalasha Purna Kari By Matali Chinara | Vengamavan | Christian Song Unnodu Naan Virunthunna | How To Reverse Dance | Obhejane Umtshengiseni | Tumnr | Ethiopia Poet Leul Haile | Presha | Neetah Baibe | Novo Mega Hack Para Clash Royale Cartas Lendarias | Roly Ploy | Aslay Akiimba Angekuwepo Mama Pamoja Na Wcb | Classic Wow Dungeon Guide | Kuttikadu St Sebastian Forane Church 3 | Demi Lovato Sober Lyrics | Hum Tere Bin Ds Karaoke | Ooowee | Dirty Harry Magnum Force Filming Locations | Tujsa Mera Ya Ji Nhi | Manjal Mahimai Jukebox Tamil Movie Songs | Minecraft Feed The Beast Revelation Nuke | Rimjim Ke Geet Sawan Gaye Gaye | I Wont Give Up | दश म त क | S Kide Mzee Wa Bwax | Whispering Hope Firm Faith Mp3 | Girls Piss Tights | Siti Shera 2011 Episode 18 | Ntambama | Marwadi Brothers | Karayilandan Itiraf Yok Olup Gidecegiz | Sooraan Iyo Jawaan Full Film | Detonate Mines Insanity Amulet | The Yardbirds | Talaka Nay Wa Mitego Official Audio | Casper Offset | Josephone | Nikki Mbishi Free Style | Zack Knight Beautiful To Me | I Am Lonely | Hart | Checking Under Ice Beaver | Poongathave Revival

Video Preview

About

Free download Rogate Kuna Namna Download mp3, 7.37 MB Download Rogate Kuna Namna Download mp3, listen 00:05:36 and download official music mp3

About jzomp3.com

On jzomp3.com you can find your favorite music that exists on the web, read music news and download mp3 for free in the best quality. No registration is needed.